MBUVI - NAJIKAKAMUA (Official Video)

in #najikakamua5 years ago


NAJIKAKAMUA LYRICS

Written By: Victor Mbuvi
Audio: Bosire/Gittx
Video: GK Macharia
Venue: After 40 Hotel

Eti Wewe Wanipenda,
Eti Wewe Ulinifia,
Eti Wewe Wanijali,
Eti Wewe, Eti Wewe,

Wahenga Walinena,
Mgaagaa na Upwa,
Hali Wali Mkavu.
Lakini Lolote nifanyalo,
Hili Lile,
Faida Ni Bure.
Nimeona Sijiweze,
Nimebaki Upweke,
Mwenda Tenzi na Omo,
Marejeo Ngamani.

Chorus
Nitajikakamua,
Niliite Jina lako Baba.
(Nikwite Baba),
Kwani najua Kilio Changu Wewe,
Utakisikia.
(Tasikia),
Naja, Naja,
Niokoe na Janga la Mauti.

Neno Lako Lasema,
Ndani Lako ni Zaidi Ya Mshindi,
Basi Naja nilivyo,
Sijiweze Niokoe,
Nichukue, Nibariki,
Nifinyange, Nibadilishe,
Niwe Upendavyo.

Chorus
Nitajikakamua,
Niliite Jina lako Baba.
(Nikwite Baba),
Kwani najua Kilio Changu Wewe,
Utakisikia.
(Tasikia),
Naja, Naja,
Niokoe na Janga la Mauti.

Vamp
Aaaaaaah
Nikwite Baba
Aaaaaah
Tasikia

Chorus
Nitajikakamua,
Niliite Jina lako Baba.
(Nikwite Baba),
Kwani najua Kilio Changu Wewe,
Utakisikia.
(Tasikia),
Naja, Naja,
Niokoe na Janga la Mauti.

Enjoy "NAJIKAKAMUA" - Beautiful song by MBUVI.

Coin Marketplace

STEEM 0.28
TRX 0.24
JST 0.041
BTC 94586.62
ETH 3297.24
SBD 6.51